Vituo vya kuandikisha wapiga kura vitafunguliwa lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituo vya kuandikisha wapiga kura vitafunguliwa lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Konakali, Jun 1, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kwa dalili za harakaharaka, kuna kila ishara ya kwamba huenda uchaguzi ukaitishwa kabla ya wakati...! Swali langu ni kwamba, je kwanini NEC wasifungue vituo kwa ajili ya watu kujiandikisha ili wapate kuwa tayari kupiga kura wakati wowote?
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,657
  Likes Received: 5,815
  Trophy Points: 280
  haHAHAHAH...unatafuta bifu eeh!????
   
 3. T

  The Priest JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ha ha ha!kelele za jamvini lakn watu hawapg kura,walojiandikisha tu wenyewe hawapg kura.
   
Loading...