Vituo gani vya Afya vilivyopewa pesa ya Tozo?

Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
 
naandika kwa herufi kubwa

TATIZO LA NCHI YETU SIO MAPATO, NI MATUMIZI!!

Hakuna zaidi nachoona zaidi ya hizi tozo zetu kupigwa tu, bajeti yenyewe kwa wizara ya waziri ikiwa bilioni 100 utaskika bilioni 80 matumizi ya kawaida inayobaki ni maendeleo, na hayo maendeleo bado wanapiga pesa ya bajeti yake.

Ni upuuzi mtupu kuamini hizi tozo zetu ndio suluhisho,
 
Ogopa sana majambazi.

CCM= Chama Cha Majambazi.

Uliza kwanza zile hela za radar ziliishia wapi?

Tumepewa dola milioni 425/Tsh bilioni 950 kwa ajili ya kupambana na Corona, zimetumikaje?

So mkuu hiyo hela Kwa nchi ya watu mil 60. yenye kila changamoto unazoweza zitaja hiyo Dollar Mil. 425 hela? Mkuu Punguza Kuzaaa utaona matunda ya hela za aina hiyo.
 
Ogopa sana majambazi.

CCM= Chama Cha Majambazi.

Uliza kwanza zile hela za radar ziliishia wapi?

Tumepewa dola milioni 425/Tsh bilioni 950 kwa ajili ya kupambana na Corona, zimetumikaje?
Hahahahaha

IMG_20210815_171548.jpg
 
Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Mpaka wanajua idadi vilishaanishwa na tunaweza kuvijua ila pesa kufika yaweza kuwa bado
 
Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Waambie hata yale ya nyumbani kwako yatatatuliwa na makusanyo ya tozo.
 
Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Ni fadhaa hizo mkuu, hawaamini kama kuna mwanga umeanza kuonekana LIVE kabisa. Hakika watanyamazishwa, bila makelele, baada ya muda fulani.....hili naamini kabisa
 
Back
Top Bottom