HahahahahahHii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...
Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
HahahahahahHii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...
Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
Maji sio kipaumbele kwa Sasa,wazalendo halisi hatuhitaji maji tunataka ubaridi tu.
Eeh bana ubaridi ndio la muhimu😂😂Maji sio kipaumbele kwa Sasa,wazalendo halisi hatuhitaji maji tunataka ubaridi tu.
😄😄 Muhimu Sana mkuu.Eeh bana ubaridi ndio la muhimu😂😂
Haya bwana ANTI miradi yupo humu karibu ananzisha JF yake ya itakayoruhusu maisha ya kushushiana hadhi.... Yote hayo hujajua tunataka kununu vifaa ili MELI ZIFANYE KAZITangu Dodoma ipendekezwe kuwa makao makuu ilishajulikana hiyo sehemu ni kame, ak.a jangwa.......lakini zaidi ya miaka 60 kuwekeza kuboresha hali ya hewa hapo Dodoma kwa kupanda miti ya kutosha na kutengeneza bustani zenye mabwawa ya maji mjini imeshindikana. Kwa sababu mmeona hali ya hewa inatishia amani ndo mnakurupuka kwenda kuweka AC, sasa sijui hizo AC zitatupooza watu zaidi ya milioni moja kwa mkupuo, au tutakuwa tunaingia kwa zamu......
Mtakua mnaingia kwa zamu zamu Kama mlivyokua mnaingia kwny vile vyumba vya kujifukiza pale Muhimbili.Tangu Dodoma ipendekezwe kuwa makao makuu ilishajulikana hiyo sehemu ni kame, ak.a jangwa.......lakini zaidi ya miaka 60 kuwekeza kuboresha hali ya hewa hapo Dodoma kwa kupanda miti ya kutosha na kutengeneza bustani zenye mabwawa ya maji mjini imeshindikana. Kwa sababu mmeona hali ya hewa inatishia amani ndo mnakurupuka kwenda kuweka AC, sasa sijui hizo AC zitatupooza watu zaidi ya milioni moja kwa mkupuo, au tutakuwa tunaingia kwa zamu......
MELI ZIFANYE KAZI (ni kukuza shipping industry kuelekea TANZANIA MPYA)Mtakua mnaingia kwa zamu zamu Kama mlivyokua mnaingia kwny vile vyumba vya kujifukiza pale Muhimbili.
Hii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...
Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
Maeneo mengi Hakuna maji Dodoma.....mtoa mada naona dishi limeyumbaMaji ni ya uhakika dodoma nzima?
Warudishe na zile Bata vuzi.MELI ZIFANYE KAZI (ni kukuza shipping industry kuelekea TANZANIA MPYA)
HallucinationsKutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:
Nkuhungu
22 S. Nkuhungu St.
Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Udom
1800 Udom St.
Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Mtumba
Mji wa Serikali 200 Mashariki
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Idara ya Polisi Zimamoto
20 NHIF PLAZA
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Chamwino
227 Chamwino St.
Masaa:
9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi
9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa
9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi
Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:
Nkuhungu
22 S. Nkuhungu St.
Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Udom
1800 Udom St.
Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Mtumba
Mji wa Serikali 200 Mashariki
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Idara ya Polisi Zimamoto
20 NHIF PLAZA
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Chamwino
227 Chamwino St.
Masaa:
9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi
9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa
9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi
Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Unataka madocument ili twende tukasome jinsi ya kubehave kwenye vituo au!? Muda kwa kwenda kusoma! COVIDKwanza Hii habari sio Kweli 100%
Letu Source kwanza...
Umewafanya watu humu maboya
Dodoma Demand
Cc: Asprin
Chagua mkoa wenye hospitali nyingi ILI AKILI YA MWANADAMU IWE INAWAZA MAGONJWA TUHallucinations
Chagua mkoa wenye hospitali nyingi ILI AKILI YA MWANADAMU IWE INAWAZA MAGONJWA TUWarudishe na zile Bata vuzi.
Source,Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:
Nkuhungu
22 S. Nkuhungu St.
Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Udom
1800 Udom St.
Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa
Mtumba
Mji wa Serikali 200 Mashariki
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Idara ya Polisi Zimamoto
20 NHIF PLAZA
Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)
Chamwino
227 Chamwino St.
Masaa:
9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi
9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa
9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi
Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Aliyekuambia Hali ya hewa itakuja kubadilika nani!? Bora kula AC hao JKT HAWAJUI KUTAFUTA FEDHA!?Source,
Sehemu ndogo ya hiyo pesa ungewapa JKT ingetosha kupanda miti millioni kumi.
Hivyo kubadilisha hali ya hewa kwa muda mrefu ujao. Zoezi linakiwa liwe endelevu.
Kila nyumba, kila mtaa, kila sehemu zilizo wazi zinatakiwa kupandwa miti. Serikali inaweza kuhamasisha, kuelimisha na kutoa incentives kwa wananchi wote wa Dodoma.
Hizo AC gharama za repair and maintanance zitakuwa kubwa sana, hazitawafikia watu wengi na ni suluhisho la muda mfupi, kwa gharama kubwa.
Yaani hapa sasa Mze Wassira ndipo atapatwa na pressure zaidi ya kukosa ubunge, maana kila akifikiria kulala na changudoa kwenye A/C na nafasi yake imechukuliwa na Bulaya yaani sipati picha anatukanaje watu huko mitaani Bunda.Kwa maana hio AC za umma zitafungwa ili kupepelea mafisadi watakaokuwa Dodoma?