Naomba kuuliza je ni salama kutumia Vitunguu swaumu vya kisasa kama tiba?
Je, njia gani nyingine ya kutofautisha Vitunguu swaumu vya kisasa na vya asili zaidi ya kuangalia ukubwa wake?
Hakuna jibu maana hakuns Aliyefanya Utafiti kugundua tofauti ya ingredients kati ya vitunguu vya Kisasa na Asili.. So vyote ni sawa unaweza kutumia kwa tiba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.