Vitumbua (Aina Ya Kwanza) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitumbua (Aina Ya Kwanza)

Discussion in 'JF Chef' started by X-PASTER, Jul 15, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Vitumbua (Aina Ya 1)

  Vipimo

  • 1 Kikombe cha mchele.
  • 1 Kijiko cha kulia cha unga wa ngano.
  • 3/4-1 Kikombe cha tui la nazi zito.
  • 2 Mayai.
  • 1 Kijiko cha chai cha hamira.
  • 1/2- 3/4 kikombe cha sukari.
  • Iliki kiasi upendacho.

  Naman Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Osha na kuroweka mchele ndani ya maji ya baridi masaa manane au siku moja.
  2. Mimina vifaa vyote ispokuwa sukari, ndani ya blender na usage mpaka mchele uwe umesagika kabisa.
  3. Mimina sukari ndani ya mchanganyiko na usage tena kidogo tu.
  4. Mimina mchanganyiko ndani ya bakuli na ufinike. Weka bakuli mahali penye joto ili mchanganyiko uuumuke.
  5. Mchanganyiko ukisha umuka, weka karai kwenye moto.
  6. Tumia kama kijiko 1-2 cha chai cha samli kwa kukaangia kila kitumbua.
  7. Mimina mchanganyiko kiasi kwenye karai kulingana na kikarai unachotumia.
  8. Kitumbua kikiiva upande mmoja, geuza upande wa pili mpaka kiwe tayari.
  9. Panga kwenye sahani. unaweza kula vitumbua vikiwa moto au vikipowa.
   
 2. s

  sia2014 Member

  #2
  May 1, 2014
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 3. s

  sia2014 Member

  #3
  May 1, 2014
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kuuacha uumuke kwa muda gani? unaweka amira au?
   
 4. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #4
  May 1, 2014
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Ameweka kipimo cha hamira mbona kijiko kimoja cha chai...ofcoz kuumuka ni sababu ya hamira

  Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  May 1, 2014
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Kuumuka yategemea nguvu ya hamira mda ni 30min-1hr

  Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
   
Loading...