Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,941
- Thread starter
- #141
Mimi nltaka niwafate walimu wao bwana wee sisi tunalipa hawa muwafundishe halafu nyie mnazngua mnaleta maswali magumu 🤦🏾♂️Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena
Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake