Vituko vya wanasiasa wa Afrika ona hii kali

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,915
Kwenye hii screenshot kuna picha ya kiongozi flani wa serikali ya Uganda aliyekodi helkopta kwenye kijijini eti kushiriki katika ujenzi wa darasa kwa kutumia udongo.
sasa gharama za kukodi hiyo helkopta mbona ni kubwa kuliko ujenzi wa hilo darasa la udongo.
Yale yale ya uzinduzi wa kisima cha majai unakuta gharama za kuandaa hafla ya uzinduzi anai sawa au zaidi ya gharama za kujenga hicho kisima.
91986c1e50425d73a5f9400cad956330.jpg
 
Huyo kiongozi nadhani kichwani kajaziwa kiporo cha ugali badala ya ubongo upuuzi gani huo!!
Ni sawa na viongozi wa serikali ya CCM wanapoenda sehemu wakiendeshwa na magari ya TZS 200M+ (huku magari yakiwa hayazimwi ili waheshimiwa wakute hali ya ubaridi ndan pindi warudipo) halafu wanasema kasungura kadogo pale wanakumbushiwa jambo la maendeleo
 
Kwenye hii screenshot kuna picha ya kiongozi flani wa serikali ya Uganda aliyekodi helkopta kwenye kijijini eti kushiriki katika ujenzi wa darasa kwa kutumia udongo.
sasa gharama za kukodi hiyo helkopta mbona ni kubwa kuliko ujenzi wa hilo darasa la udongo.
Yale yale ya uzinduzi wa kisima cha majai unakuta gharama za kuandaa hafla ya uzinduzi anai sawa au zaidi ya gharama za kujenga hicho kisima.
91986c1e50425d73a5f9400cad956330.jpg
Huyo kiongozi hana tofauti na mnafiki mmoja anayejiita eti rais wa wanyonge ila kila kukicha ni kuwabomolea hao wanyonge nyumba zao na kuwauwa wengine kwa kwa kutokuajiri madaktari, kutoa elimu "bure" kwa kutokuajiri walimu na kuwauwa wengine kwa kuwapiga risasi, kuwateka na kuwatupa baharini. Another shithole from chattle! Bichwa kubwa kama nundu ya ngamia
 
Huyo ni Sawa kabisa na management ya NEC na DED wa Kinondoni wa hapo Tanzania walivyomuua Binti yetu Akwilina A. B.

Shithole countries and leaders.kabisa.

R.I.P Binti AAB,
Ndoto zako zimezimwa kama mche wa kondeni unavyong'olewa bila huruma.
 
Hii lawama NEC na DED wa kinondoni hawawezi kuikwepa..

Wanapaswa wajiuzulu nafasi zao..

Mwisho wa ubaya aibu..

Mbaya zaidi hawa wanaonunua wabunge na madiwani, eti kumuunga mkono mpuuzi fulani aibu iwe juu yao.
 
Huyo kiongozi hana tofauti na mnafiki mmoja anayejiita eti rais wa wanyonge ila kila kukicha ni kuwabomolea hao wanyonge nyumba zao na kuwauwa wengine kwa kwa kutokuajiri madaktari, kutoa elimu "bure" kwa kutokuajiri walimu na kuwauwa wengine kwa kuwapiga risasi, kuwateka na kuwatupa baharini. Another shithole from chattle! Bichwa kubwa kama nundu ya ngamia
Kuna mambo huwa mnaongea mpaka najiuliza huwa mnafikiri kwa kichwa gani
 
Back
Top Bottom