Vituko vya wanafunzi wa shule za kata

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,332
14,255
IMG-20220117-WA0034.jpg
 
Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
 
ungeenda kula wali au half cake kwa mama Pendo (R.I.P) au mihogo mwisho wa lami, au ulikuwa unaogopa kilima cha baghday au pori la jeshi?
 
Duuhh mama Pendo kumbe alifariki mkuu? Apumzike salama ametu save sana tuliokuwa tunachelewa dining na kukuta ma dish meupe pee.
 
Hii picha imenikumbusha kipindi nasoma Pugu boys wazee wa pond, kuna mijamaa ilikuwa kwenye uongozi wa wanafunz basi ikiingia dining inatoka na minyama na wali kama wote huku sie wengine tukiwekewa kinyama kimoja kimoja, cha kufurahisha wengi wao walikuja taga
Viongozi wa msosi lazima wafeli
 
ungeenda kula wali au half cake kwa mama Pendo (R.I.P) au mihogo mwisho wa lami, au ulikuwa unaogopa kilima cha baghday au pori la jeshi?
Daaah umenikumbusha mbali kidogo, baghdadi pale Kuna jamaa alikuwa anaitwa Omary, alikuwa anauza mihogo mizuri sana
 
Back
Top Bottom