Vituko vya wabunge wa CCM havitaisha mpaka itoke madarakani

tanganyikakwanza

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
495
0
Akichaogia wizara ya maendeleo ya jamii mbunge wa CCM kutoka Zanzibar mh. Faida Bakar alisema naipongeza serikali ya CCM na naunga mkono hoja 100% na nampongeza mkurugenzi wa NSSF bwn. Ramadhan Dau kwa uzalendo na uchapakazi na kama Tanzania wangekuwepo watu kama yeye 20 hakika ufisadi Tanzania ungeisha.

Maana yake kama Tanzania 20 hawafiki basi CCM hata wawili hakuna.
 
annalolo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
309
0
wala si washangai wanaanzaga kwa kusifia sana serikali sikivu mwisho wanavuruga kabisa
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kimsingi nadhani wote tutakubaliana kuwa Bunge letu ndiyo nyumba yetu ya maamuzi ya tunataka nchi yetu iwe na sura gani. Nadhani hivi vituko haviishi kwa CCM kutoka madarakani. Vitaisha pale Upinzani utakapokuwa na wabunge wa kutosha kufanya au kuzuia maamuzi.

Nadhani ili nchi hii iendelee tunahitaji kuwa na zaidi ya nusu ya wabunge katika bunge letu. Hayo mambo mengine ya kuwa na rais ni mazuri lakini hayana msaada sana. Pia naamini zaidi kuwa ufanisi wa kuonekana (remarkable) utafikiwa pale tutakapofikia kutambua kuwa hii ni nchi yetu wote, na kumpa kila mtu mwenye uwezo wa kuchangia maendeleo nafasi ya kufanya hivyo, bila kujali dini, rangi, kabila au itikadi ya kisiasa. Nadhani kuwa na serikali mseto italipa kuliko kuwa na serikali ya chama kimoja.

Ni wazi kuwa kuna haja kubwa ya Watanzania wote kujifunza kuwa kuna muda wa kampeni na wa kujenga nchi. Wakati wa kampeni tufanye kampeni (siyo matusi) kwa nguvu zote, kampeni zikiisha viongozi na wananchi waache porojo, wakachape kazi kutafuta fedha na kutimiza ahadi na wajibu, kila mtu kwa nafasi yake.
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,023
2,000
Akichaogia wizara ya maendeleo ya jamii mbunge wa CCM kutoka Zanzibar mh. Faida Bakar alisema naipongeza serikali ya CCM na naunga mkono hoja 100% na nampongeza mkurugenzi wa NSSF bwn. Ramadhan Dau kwa uzalendo na uchapakazi na kama Tanzania wangekuwepo watu kama yeye 20 hakika ufisadi Tanzania ungeisha.

Maana yake kama Tanzania 20 hawafiki basi CCM hata wawili hakuna.

Lisu ana ushahidi kuwa mawaziri na wabunge wa CCM wanapewa mikopo na Dr. Dau kinyume na utaratibu!

Kwa maneno mengine Dau anafanya ufisadi wa fedha za NSSF kuijenga CCM!
 
Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,726
1,500
kinyesi

Akichaogia wizara ya maendeleo ya jamii mbunge wa CCM kutoka Zanzibar mh. Faida Bakar alisema naipongeza serikali ya CCM na naunga mkono hoja 100% na nampongeza mkurugenzi wa NSSF bwn. Ramadhan Dau kwa uzalendo na uchapakazi na kama Tanzania wangekuwepo watu kama yeye 20 hakika ufisadi Tanzania ungeisha.

Maana yake kama Tanzania 20 hawafiki basi CCM hata wawili hakuna.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom