Uchaguzi 2020 Vituko vya Uchaguzi: Gari ya matangazo yenye bendera za CCM inatangaza mkutano wa mgombea wa TLP

Hapa Mwanza Jimbo la nyamagana gari ya matangazo iliyosheheni bendera za ccm na mziki mkubwa inapita jimboni ikitangaza mkutano wa mgombea ubunge wa TLP Jimbo la nyamagana.
Ama kweli Tanzania ya viwonder!.
Hutaki ?,huu mchezo hautaki hasira ,mwambie Pambalu sumu haijaribiwi kwa kuonjwa,mtaelewa tu kwanini hilo linafanyika
 
Jiwe stone anakwambia
"Unakuta Mama ulizaa Mtoto Mwanaume akakukimbia haleti matumizi, unafika wakati wa kwenda shule huna pesa za kuwasomesha, nikasema tuwape elimu bure kuanzia shule za msingi hadi sekondari, jamani nimefanya vibaya?, mnataka mnitoe muweke wengine watakaoanza kuwalipisha kodi?”

Hiyo kauli kitaalamu ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata, Lisu kwanni unamfanya hivyo kaka yako Jpm
 
Picha ya hilo gari lenye bendera likitangaza?!! Sasa ukishaliona hilo gari lenye bendera za ccm utajuaje sasa linatangaza kampeni za TLP?!
Sawa, Basi kavideo. Sasa tutaamini vp?
 
Back
Top Bottom