Vituko vya nyani na ngedere ,hawa wanyama ni burudani sana

Dah! Aisee kweli aiseee ni shida kabisa ........wanyama wanaburudani sana hawa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Unajua hawa viumbe hawapo serious wanakera na wanajua Kama wanakera nna hakika hata uharibifu Wa mazao wanaoufanya ni muendelezo Wa masiala Yao katika mambo yaliyo serious

Sent from my RIDGE 4G using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom