Vituko vya mume!

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
Dada mmoja alichoshwa na vituko vya mumewe akamwambia "bora ningeolewa na shetani kuliko wewe"

Mumewe akajibu "dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake"...
 
Back
Top Bottom