Vituko vya Malema katika kuapishwa kwa wabunge wa EFF; acheza kwa mtindo wa Zondwa Wabantu

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,627
Leo kiongozi wa EFF Hon. Julius Malema amefanya kituko baada ya kuitwa mbele ya bunge kuapishwa kwa kuondoka na miondoko ya kucheza style ya "Vosho" inayochezwa na mwanamke mtukutuku Zondwa Wabantu na kuibua vicheko na shangwe kubwa bunge.

Malema ambaye chama chake kimepata wabunge karibia mara mbili tangu kianzishwe kawaacha Wasouth wakiwa mbavu hawana huku wengine wakisema akili hazimtoshi n.k.

Katika kampeni zilizopita Malema alishawahi kutoa ahadi kuwa endapo chama chake kitashinda basi atacheza style hiyo ndani ya bunge na leo katimiza alichokisema

FB_IMG_1558533809416.jpeg
 
Yuko ndani na kamuonya spika kuwa kama alishindwa kuwadhibiti wakiwa 25 bungeni leo wako 44 sasa awe mpole tu spika akabaki anacheka tu
Hahaha basi bungeni kutakuwa kutamu maana south kuna vilaza wa anc wanazingua sana akikosekana malema na dr ndloza na yule kibonge na yule bibi watatamba sana
 
Back
Top Bottom