Vituko vya makabila ndani ya usafiri wa mabasi, usirogwe ukapanda basi moja na Waha

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe juu yenu wakuu

Juzi nilisafiri kwa njia ya basi kutoka home Mwanza hadi Dar.

Nilipanda basi moja kwa jina la Tungis, basi hii ni nzuri na mpya kabisa na huduma zake ni bomba sana.

Tumetoka Mwanza tukapita Shinyanga tulipofika Tinde kumbe kuna watu walikuwa wamekata ticket kuanzia Tinde had Dar watu hao walikuwa ni Waha walitoka Kigoma kupitia Kahama.

Walikuwa ni mabinti kama watatu na mama mmoja wa makamo.

Kasheshe likaanza njiani wakaanza kutapika kila mmoja kisa eti hawajazoea kupanda basi.

Alianza dada mmoja na mwingine akafata hadi yule mama aisee, nilikoma kabisa kupanda basi moja na Waha
Wanatapika utazani wanakojoa dah.

Tulipanda na Wasukuma fulani ambao wao tulitoka nao Mwanza, kasheshe ilianzia njiani kila wanachokutana nacho njiani wananunua na kula.

Iwe chips twende, mahindi ya kuchoma twende, pipi twende, mikate twende yaani hawaachi kitu kwenye vinywaji napo pia wanachanganya iwe Coca-Cola twende fanta twende Pepsi twende yaani kila kitu wanabugia.

Kasheshe jingine wakianza kuongea mmoja yuko mbele mwingine nyuma wanaongea kisukuma halafu kwa sauti kuu ya juu kabisa ilibidi tu wengine tuwe kimiya na wavumilivu.

Dah ila Waha mliniacha hoi aisee

LONDON BOY
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Juzi nilisafir kwa njia ya bas kutoka home mwanza hadi dar

Nilipanda bas moja kwa jina la tungis, bas hii ni nzuri na mpya kabisa na huduma zake ni bomba sana

Tumetoka mwanza tukapita shinyanga tulipofika tinde kumbe kuna watu walikuwa wamekata ticket kuanzia tinde had dar watu hao walikuwa ni waha walitoka kigoma kupitia kahama

Walikuwa ni mabinti kama watatu na mama mmoja wa makamo

Kasheshe likaanza njian wakaanza kutapika kila mmoja kisa et hawajazoea kupanda bas

Alianza dada mmoja na mwingine akafata hadi yule mama aisee, nilikoma kabisa kupanda bas moja na waha
Wanatapika utazani wanakojoa dah

Tulipanda na wasukuma flan ambao wao tulitoka nao mwanza kasheshe ilianzia njian kila wanachokutana nacho njian wananunua na kula

Iwe chips twende mahindi ya kuchoma twende pipi twende mikate twende yaan hawaachi kitu kwenye vinywaji napo pia wanachanganya iwe Coca-Cola twende fanta twende Pepsi twende yaan kila kitu wanabugia

Kasheshe jingine wakianza kuongea mmoja yuko mbele mwingine nyuma wanaongea kisukuma afu kwa sauti kuu ya juu kabisa ilibidi tu wengine tuwe kimiya na wavumilivu

Dah ila waha mliniacha hoi aisee

LONDON BOY
Panda na mang'ati yaani mpaka mate yenye ugoro utaoga .barabara ya Arusha singida
 
Hao waha kuna siku nimepanda Bus ya Adventure kutoka Mpanda kwenda Kigoma.
Mwanzo wa Safari basi zima watu walikuwa wanapiga story baada umbali fulani gari ilisimama wakashuka kununua ugali wa muhogo (Lowe) na kuku.

Baadae gari ilipoanza kukimbia sana na kuna vumbi raia walikuwa wanatapika sana, mpaka kufika uvinza watu wamelegea na hakuna story.
 
Mkuu wanatapika sana hawa watu sijui walilogwa
Hao waha kuna siku nimepanda Bus ya Adventure kutoka Mpanda kwenda Kigoma.
Mwanzo wa Safari basi zima watu walikuwa wanapiga story baada umbali fulani gari ilisimama wakashuka kununua ugali wa muhogo (Lowe) na kuku.

Baadae gari ilipoanza kukimbia sana na kuna vumbi raia walikuwa wanatapika sana, mpaka kufika uvinza watu wamelegea na hakuna story.
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Juzi nilisafiri kwa njia ya basi kutoka home mwanza hadi Dar

Nilipanda basi moja kwa jina la Tungis, basi hii ni nzuri na mpya kabisa na huduma zake ni bomba sana

Tumetoka Mwanza tukapita Shinyanga tulipofika Tinde kumbe kuna watu walikuwa wamekata ticket kuanzia Tinde had Dar watu hao walikuwa ni waha walitoka Kigoma kupitia Kahama

Walikuwa ni mabinti kama watatu na mama mmoja wa makamo

Kasheshe likaanza njiani wakaanza kutapika kila mmoja kisa eti hawajazoea kupanda basi

Alianza dada mmoja na mwingine akafata hadi yule mama aisee, nilikoma kabisa kupanda basi moja na waha
Wanatapika utazani wanakojoa dah

Tulipanda na wasukuma fulani ambao wao tulitoka nao Mwanza kasheshe ilianzia njiani kila wanachokutana nacho njiani wananunua na kula

Iwe chips twende mahindi ya kuchoma twende pipi twende mikate twende yaani hawaachi kitu kwenye vinywaji napo pia wanachanganya iwe Coca-Cola twende fanta twende Pepsi twende yaan kila kitu wanabugia

Kasheshe jingine wakianza kuongea mmoja yuko mbele mwingine nyuma wanaongea kisukuma halafu kwa sauti kuu ya juu kabisa ilibidi tu wengine tuwe kimiya na wavumilivu

Dah ila waha mliniacha hoi aisee

LONDON BOY
Siku safiri kutumia bahari ya Hindi, alafu uje kuanzisha uzi hapa
 
Waha hawakuwa na miwa, maana wanapenda sana kula miwa safarini
 
Wasukuma vile ni watu walio na watani wengi wanachekesha sana hutachoka kusafiri nao

Mwemwemweee au wahaya bila kusahau ndugu zangu wale wanyakyusa no moja weka maasai
 
Kigoma ni Moja ya mikoa nimeishi japo kwa muda mfupi ujanani mwangu
Hawa jamaa wana visa vingi ambavyo vingine vinajulikana na vingine havijulikani Sana!Moja ya visa vyao ambavyo sijavisahau ni siku ambayo niliwakuta wanakula ugali na nyanya mbichi!!!!Hawa jamaa wana visa aisee ila nahisi Mzindakaya ndio atawakumbuka zaidi kwa visa walivyomfanyia enzi akiwa mkuu wa mkoa kigoma,Makamba pia enzi za u RC kigoma hatosahau visa vyao waha!
 
Dah et ugal na nyanya mbichi watu mnastory sana
 
Hao waha kuna siku nimepanda Bus ya Adventure kutoka Mpanda kwenda Kigoma.
Mwanzo wa Safari basi zima watu walikuwa wanapiga story baada umbali fulani gari ilisimama wakashuka kununua ugali wa muhogo (Lowe) na kuku.

Baadae gari ilipoanza kukimbia sana na kuna vumbi raia walikuwa wanatapika sana, mpaka kufika uvinza watu wamelegea na hakuna story.
 
Nilipanda Shambalai kuelekea lushoto

Dah.! niliona kama nimepotea njia wanagonga kisambaa gari yote mpaka konda na dereva

Yaani kama nisingekuwa naenda ukweni ningeishia njiani tu hakukuwa na namna
 
Back
Top Bottom