Vituko vya Kagame: Je, ni mpango wa CIA kuiua East African Community?

Kama wangekuwa interest ungeona changes siku nyingi sana.
Tena wasingepitia kwa kagame maana nchi yenyewe si hata powerful kihivyo.. influence yao kubwa iko kenya. Wamwache mkenya ambao ni rafik wa karib waende kwa kagame.. ambae ana ties na nchi za kikomunist.
Kama wangeamua kuishake EA.. wangeshafanya hivyo siku nyingi.. but them eti kupitia kwa kagame..nope..
Kagame ana interest zake mwenyewe yeye kama yeye.
Wanaweza nao kuona hiyo loop hole wakapitia humo humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom