Vituko vya house girl

Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.

uyo kijana jirani anataka kumchakachua tu...
 
akalia mkuu.....lakini kama 'hujamchajachua' ni pong'a tu lakini usiwadharau kwa kazi yao au social status yao, Na wao ni wanawake kama wengine ati! na wala kila kitu
 
Rip Dena Amsi... Maandishi yako bado yanaishi
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.
 
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!!

Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.
Kama aliweza kusikia maneno hayo na kuyafikisha kwako basi yupo vema kichwani. Maana alikimbia akimshangaa huyo kijana kwa kumwambia yeye handsome..
 
Back
Top Bottom