Vituko Vya Clouds Fm,..

Rais anapaswa atambue hiyo ndio radio iliyo mstari wa mbele kuharibu maadili ya kitanzania
 
Hata Mtu uwe na Mdomo Mkubwa kiasi gani, huwezi kuimba kwaya peke yako.
 
Habari zenu wakuu,.

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtagundua ya kwamba,.

Katika tangazo la Clouds lenye rekodi ya sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete akizungumzia fursa limefanyiwa editing na kuondolewa ile sehemu ambayo Rais alisikika akimsfia Ruge Mutahaba wa Clouds,.


Napata maswali mengi ya kujiuliza katika hili tangazo,.

1.Clouds wameshindwa kuwa wabunifu mpaka wameamua kuigeuza sauti ya Rais kama mtaji wao?

2.Mbona Mh. Rais anaposikika akizungumza katika media nyingine yanaishia hapo hapo na sauti ya Rais haitumiwi katika kuipa Promo kampuni husika?

3.Hivi ni kweli Clouds wana wafuasi wengi kama alivyonadi Mh Rais ukilinganisha na media nyingine??


''Clouds acheni ulimbukeni''

1. Clouds ni wabunifu sana, kuhusu wao kupewa credit na Raisi sio dhambi. Pia sio dhambi akiwasifia kwa kile wakifanyacho, wamejitahidi kutuonesha fursa wananchi watz. Smything that deserves credit. Kuna wachina wanauza karanga hapa kwetu na bado tunalia unaskini, jambo hili limewafanya wabuni fursa ili kuwakumbusha jamii

2. Media zote mpaka ulaya wanazo collection za kauli za maraisi katika kuzungumzia jambo kuzihusu au specific media zinapomwalika si dhambi akiwasifu au kupiga nao picha. Angalia media zote zimetuonesha Picha za Hayati Mandela akiwa na kina ferguson, bekham, puff daddy e.t.c je uliwahi ziona kabla? Hata raisi wetu alishawasaidia wati kibao akiwemo Ray C na habari zikarushwa je alikuwa anampromote Ray C au anafanya majukumu yake.

3.Clouds wanao wafuasi wengi ikiwamo wewe chakii kama hujaridhika na hili jaribu fanya research yako binafsi kwa sampling yako ukikuta matokeo yanasema hawapendwi. Basi tulia na uwafollow wanaopendwa zaidi yao.

NIMEJIBU MASWALI YAKO YA MSINGI KWA MTAZAMO WANGU.PIA KAMA HUJARIDHIKA UTANIULIZA.KAMA HUTAKI PIA SIO MBAYA
 
Last edited by a moderator:
Sijaona tatizo la Mkwele liko wapi kama hata birthday huwa anaandaliwa na wazee wa fursa!

Kamata fursa twenzetu, huipendi clouds sikiliza neno la uzima Wapo fm.
 
Sijaona tatizo la Mkwele liko wapi kama hata birthday huwa anaandaliwa na wazee wa fursa!

Kamata fursa twenzetu, huipendi clouds sikiliza neno la uzima Wapo fm.

ewaa,..
 
Mwalimu wangu wa Kiswahili aliwahi kuniambia kuwa jina uumba.Jina tango pori limesadifu uwezo wa mhusika ktk kuelewa mambo/Issues......Sasa aweke PICHA YA SAUTI? Kweli we Tangopori tena lililo kosa rutuba.Pumbaaaaaffffffffffff..................
 
Back
Top Bottom