chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,689
- 22,703
Habari zenu wakuu,.
Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtagundua ya kwamba,.
Katika tangazo la Clouds lenye rekodi ya sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete akizungumzia fursa limefanyiwa editing na kuondolewa ile sehemu ambayo Rais alisikika akimsfia Ruge Mutahaba wa Clouds,.
Napata maswali mengi ya kujiuliza katika hili tangazo,.
1.Clouds wameshindwa kuwa wabunifu mpaka wameamua kuigeuza sauti ya Rais kama mtaji wao?
2.Mbona Mh. Rais anaposikika akizungumza katika media nyingine yanaishia hapo hapo na sauti ya Rais haitumiwi katika kuipa Promo kampuni husika?
3.Hivi ni kweli Clouds wana wafuasi wengi kama alivyonadi Mh Rais ukilinganisha na media nyingine??
''Clouds acheni ulimbukeni''