Vituko Vya Clouds Fm,..

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,666
22,674
Habari zenu wakuu,.

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtagundua ya kwamba,.

Katika tangazo la Clouds lenye rekodi ya sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete akizungumzia fursa limefanyiwa editing na kuondolewa ile sehemu ambayo Rais alisikika akimsfia Ruge Mutahaba wa Clouds,.

Napata maswali mengi ya kujiuliza katika hili tangazo,.

1.Clouds wameshindwa kuwa wabunifu mpaka wameamua kuigeuza sauti ya Rais kama mtaji wao?

2.Mbona Mh. Rais anaposikika akizungumza katika media nyingine yanaishia hapo hapo na sauti ya Rais haitumiwi katika kuipa Promo kampuni husika?

3.Hivi ni kweli Clouds wana wafuasi wengi kama alivyonadi Mh Rais ukilinganisha na media nyingine??

''Clouds acheni ulimbukeni''
 
wee ndo uache ulimbuken!!!!! by then ni wivu tuu huo ..,kumbe unasikilizaga clouds fm
 
Habari zenu wakuu,.

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtagundua ya kwamba,.

Katika tangazo la Clouds lenye rekodi ya sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete akizungumzia fursa limefanyiwa editing na kuondolewa ile sehemu ambayo Rais alisikika akimsfia Ruge Mutahaba wa Clouds,.

Napata maswali mengi ya kujiuliza katika hili tangazo,.

1.Clouds wameshindwa kuwa wabunifu mpaka wameamua kuigeuza sauti ya Rais kama mtaji wao?

2.Mbona Mh. Rais anaposikika akizungumza katika media nyingine yanaishia hapo hapo na sauti ya Rais haitumiwi katika kuipa Promo kampuni husika?

3.Hivi ni kweli Clouds wana wafuasi wengi kama alivyonadi Mh Rais ukilinganisha na media nyingine??

''Clouds acheni ulimbukeni''
acha ujinga
 
Wivu wa kike, kinachoiponza Clouds ni kule kuipeleka peleka media house ya mangi mwenzenu.
 
Habari zenu wakuu,.

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtagundua ya kwamba,.

Katika tangazo la Clouds lenye rekodi ya sauti ya Mh. Rais Jakaya Kikwete akizungumzia fursa limefanyiwa editing na kuondolewa ile sehemu ambayo Rais alisikika akimsfia Ruge Mutahaba wa Clouds,.

Napata maswali mengi ya kujiuliza katika hili tangazo,.

1.Clouds wameshindwa kuwa wabunifu mpaka wameamua kuigeuza sauti ya Rais kama mtaji wao?

2.Mbona Mh. Rais anaposikika akizungumza katika media nyingine yanaishia hapo hapo na sauti ya Rais haitumiwi katika kuipa Promo kampuni husika?

3.Hivi ni kweli Clouds wana wafuasi wengi kama alivyonadi Mh Rais ukilinganisha na media nyingine??

''Clouds acheni ulimbukeni''

hivi hamchoki kuisema CLOUDS MEDIA.....kama hamjui nyinyi ndio mnaipa promo sana bila kujijua.....
 
Roho mbaya imekujaa wewe mtoa mada nawe nenda kajenge redio yako umtafute rais aje kuipa promo kama unavyodai
 
mkuu nijibu maswali yangu ya msingi acha kuruka viunzi,.
 
Mh!! Haya bana siye yetu macho...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
chakii acha wivuuu ukiona hata wewe unaizingumzia clouds na unafuatilia details hadi details ujue unaipenda sana, tena tokea moyoni sema una kachembe kawivu. Nakushauri nawe uanzishe media yako halafu itafute sauti ya raisi akisifie halafu uitunze kwenye record zako. CHANGE IS YOU.AND START FROM YOU
 
Last edited by a moderator:

sina wivu mkuu,.

Naomba unijibu maswali yangu ya msingi!!
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom