Inawezekana hukumwambia , ulikuwa unataka uone kama anakupenda kweli nayeye akaona unazingua kumbe kimoyomoyo umezimika......msifanye mambo mengi......ai lavu yuu jibu ailavu Yu tuu.....
Nasemea bwana ambae tulikua kwenye mahusiano tayari alafu nikapigwa chini wakati namuhitaji bado kilio kitahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
20220514_104903.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
102 Reactions
Reply
Back
Top Bottom