Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,192
- 1,077,290
Mkwara hevi!
BarikiwaUkiongezea na uchawi wa Gasuma nakwambia ni hatari sana.
Piga sala ya ulinzi na omba damu ya Yesu ikae katika lango la nyumba yako na moyo wako. Ziraili atafika hapo na atapaona pa moto atapakimbia Mtumishi
Sasa jinsia na upara wapi na wapi?Acheni hizo...hata watu wasitaniane?
View attachment 2223664
Kumtania mtu kwa jambo la kweli ni utani au kumwambia ukweliAcheni hizo...hata watu wasitaniane?
View attachment 2223664
Kwa sabab hata hiyo mpya km tusipoiheshimu itakua ni bure tu