Our heroes have aged!
jean-claude-van-damme-shirtless-backgrid-embed1.jpg
 
A short story kutoka magazeti ya Shigongo

Kabaharia Mark Constantine kalishikwa ugoni redi hendedi na Mwanaidi Mustapha ambaye ni mke wa mtu huko Rocky City.

BAADAYAKUWAKUTACHUMABANIAIBUILITAWALAKWAO.JPG

mkewakigoghuyoakiwaanaliaakiombamasamahakwamumewe.JPG


Mwenye mke hakutaka kukaua bali aliamru alipwe laki 5 kwa kutafuniwa mke wake. Kabaharia kakaona isiwe kesi kakaamua kutoa ahadi mbele ya mashahidi.
marckakiandikamaelezo.JPG


Mchezo ukaisha na kila mtu akaendelea na mishe zake. Mwanaidi Mustapha akaondoka na mumewe. Na hadithi yetu inaishia hapo.

Funzo: Mke wa mtu ni sumu

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriYaNdani
 

Attachments

  • baruayamaelezokutokakwamarck.JPG
    baruayamaelezokutokakwamarck.JPG
    58.4 KB · Views: 39
102 Reactions
Reply
Back
Top Bottom