Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,203
- 1,077,357
Muhimu sana (hasa humu mitandaoni)
nimekumbuka mbali sana,
Ya chini kushoto ni shidaaaa!Wadada wa Jf challenge. Anyone?View attachment 2081820
vipaka huwa vizuri sana vikiwa vidogoPia kuna kale ka paka kakuitwa last born (kamesimama) kanachekesha sana vile vi macho.
Mwanamke jasiri aliyepata umaarufu mkubwa mwaka 2021 hatimaye amepata mchumbaView attachment 2082337
Sana. Yakikua sasavipaka huwa vizuri sana vikiwa vidogo