Tatizo la wanasiasa wengi...Yaan kama anasema million 35 wamepata ajira inamaanisha ni nusu ya population ya watanzania duh ***** kwa hiyo mpaka walioko shule tiyar wanaajira....
Njaa hizi mbaya ikihamia kichwani unatoa takwimu na ugoro juu
Tatizo la wanasiasa wengi...
View attachment 2035308
Kuanzia sasa muanze kuniita Dr. SYB, Ph.DMtumishi nimecheka sana hiyo Avatar yako daah
Kuanzia sasa muanze kuniita Dr. SYB, Ph.D
View attachment 2035323
Usiku sana sasa mbona hujalala mtumishi? Mzee hayupo au kuna katoto kanasumbua?Kwa kweli Dr, anayeona umependelewa aje akuue tu; yaani kofia imekaa mwake hatari
Usiku sana sasa mbona hujalala mtumishi? Mzee hayupo au kuna katoto kanasumbua?
Namuunga mkono