Milele2021
Senior Member
- Aug 21, 2021
- 181
- 2,317
$20,000,000 kalipwa ila na kichapo cha kueleweka kapokea. Uzeeni huko Parkinson's disease, dementia na matatizo kibao. Wajanja ni wale ambao hustaafu mapema vinginevyo ni hatari sana huu mchezo.Sleeping doseView attachment 1973677
Wataitoa na ban ya siku 3 utapata. IlishanitokeaKwangu Imekubali. Ila wakistukia lazma waitoe.
Wamama wako bize!
View attachment 1974026
Kwa kweli lilia bahati katika dunia hii. So jamaa anakula mbususu za wanafamilia wote.Nimeamini wenye bahati wapo! View attachment 1973816
Acha tu ndugu yangu! Wakati huku kwetu ikiingia sms tu unawindwa na kidumu cha petrol.Kwa kweli lilia bahati katika dunia hii. So jamaa anakula mbususu za wanafamilia wote.
Kwa hiyo sisi ambao wazaz wetu kipind cha kupambania Uhuru hawakuwa na konekshen ya vyama vya Uhuru ndio kawaida tu kupewa kesi za ugaid??? Mwachen kibatala atimize majukumu yake
Starudia kunywa pombe labda mninyweshe nikiwa nimelewa
Nani kama Kambarage?
View attachment 1974224
Hahahahahaha,