Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 11,014
- 33,913
Saivi naitafuta Tunduru, Jana si ulikataa kuja Mjini!🙊,songea ushatoka?
Mbona nitadhalilika babu,zitanivulika mbele ya kadamnasi
Kwa jinsi ulivyojaa vile, mkufu wa Gold size 33 utakutosha kabisa. Next trip nitakuletea nikuveshe🙈