Umetisha, una size kubwa na ndogo. Hata ungeipiga picha moja tu ujumbe ungetufikia.
nilikuwa namueleza mkuu shimba kwamba sikuhizi wamekuwa wengi haina haja ya kombe tena!Vipi kuna mwingine amekinukisha bro?
Mbingu utaendelea kuiskia kwa wengine tu
Mambo ya kuogelea nilishashindwa kitambo sana
ukinikuta nimeingia kabla yako sijui utaambia nini watuMbingu utaendelea kuiskia kwa wengine tu