IMG-20210730-WA0141.jpg
 
Theodorin Obiang wa Equitorial Guinea,Si vikwazo tu Ufaransa wameshataifisha na kupiga mnada majumba yake yote na Mabugatti yenye thamani ya Euro 150 milioni(B 300 na ushee),watu wana laana hawa,wananchi wake maskini haswa
Mbaya wa mtu mweusi sio mzungu bali ni sisi kwa sisi, ila kwa sababu ya ubinafsi na uchoyo wetu wazungu nao wanapita hukohuko. Mtu unajisikiaje kumiliki mabilioni ya mali tena kwa kutumia pesa za wananchi masikini kabisa, hivi unajisikiaje kwanza?! Fahari yote hiyo ya nini?! Nchi masikini kwelikweli halafu unaskia mtoto wa rais au pm anamiliki majumba na magari ya kifahari ya kila aina huku wananchi wao wananuka umaskini wa kutisha. So sad
 
Back
Top Bottom