HahahahahahahBaharia kaangukiwa na bahati hataki kuipoteza
View attachment 1868955
Marahabaa mjukuu. Mimi sijambo sana. Asante kunikumbuka. Jiangalie huko maporiniBabu,shikamoo
Nimekukumbuka.
Ufala gredi waniView attachment 1869548
Mapenzi au ufala?
Una uhakika hakana pesa za kutosha mkuu? Slei kwini kweli ahurumie kajamaa kama haka bure bure tu?View attachment 1869557
Wanaume Wanaume tu. Kajamaa pamoja na kuhurumiwa tu na huyu dem kukapa papuch
Ni zile baisikeli zenye injini au ni bangi tu zimemzidia?
AmenWababa wote mbinguni
View attachment 1869537
Halafu mijini tunaambiwa level siti. Yaani safari hii wamegota. Watanzania wanawaangalia,wanacheka,wanasema"ihiiiii"..…...View attachment 1869559
Ukiambiwa hiki kidude wanapanda watu 13 huwez kuamin . MCHOMOKO