400111900630_58277.jpg
 
Ndiyo. Tukitaka povu tunakwenda huko jukwaa la siasa. Hapa kwa kweli ni mahali patulivu pa kucheka na kurelax. Natamani sana paendelee hivi hivi bila ushabiki wa kisiasa usio na maana wala mambo ya dini. Huyu mchawi wa Kipare ametupatia kijiwe kizuri cha kupumzikia kwa kweli

Sana hadi wapendwa wa humu nimeanza kuwajua nikiona hawajapost najiuliza kunan tena jaman
 
102 Reactions
Reply
Back
Top Bottom