2.5516634925315799E18.jpg
 
Hahahaaaaa,ilishanitokea aisee,ni aibu mpk unaogopa kumwangalia machoni,ila mara nyingi utokea pale unapobeba mademu ya short time linakuvizia na mahaba feki mara ndani ya dakika 10 wazungu hao,hilo linawahi kushika sit nyingine,ukitaka cha pili linataka uongeze mawe,kweli umalaya sio dili

Nimecheka sana bro. Eti linakuvizia na mahaba feki dah! Ya hivyo nadhani yanajua hata mbinu za kukufanya upige bao haraka ili liende likaendelee na kazi kwingine. Pole aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom