Umenikamata hapa mjinga wewe
Niliufanya sana huu ujanja! 🤣
Ame relax tu 😂
hoi!!Swaumu hii jamani swaumu hii itaondoka na roho ya mtu......chungu cha nne Leo..View attachment 1754450
Hao ni wenzetu wa ziwani tu, usijiulize sana
MshindweeeNimeona yule jamaa alikataa hiyo, akadai eti ni waluhya wa Kenya wakati wana viashiria vyote vya usukumani
Hahahaha. Trust NO one.Umenikamata hapa mjinga wewe
Ninaye rafiki kama huyo...mshenz sana huyo jamaa,anaweza kuwa na 50000 mfukoni lkn akikuona na 5000 lazma atakuomba 2000 au 1000...