Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,445
😂😂😂
Hahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?
Likely smol hausi
Hiyo nmepiga picha mimi mwenyewe mkuuHahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?
Haaaaa Haaaaa 😂 nani atakaepigwa ni dada au boifrendi?Leo baharia anamkula sistako
View attachment 1633152
Akizubaa mwenyewe huyu huyu ataishia kupigwa. Anaona wivu utafikiri yeye ndiye atamkula dadake. Awaache mabaharia wafanye yao hata kama inaumaHaaaaa Haaaaa nani atakaepigwa ni dada au boifrendi?
Halafu siku hizi ndo yamejaa masokoni. Sijui mbegu gani hiziHahaha...ni kweli viazi vya hivi vipo?