konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,539
- 40,894
natamani ningekuwa huyo mooo
Aahh !!!mooo ana faidi sio?
natamani ningekuwa huyo mooo
Hahaaanatamani ningekuwa huyo mooo
kibaha hii nimeiona gar yangu hapo mbele
Punda wa dobi. Angebeba huo mzigo akiwa kavaa chama pinzani, kwa mathias asingevuka na huo mzigo.
Hahahahaaaa!! Atakuwa amebeba ulanzi kuelekea south afrikahapo kabeba bangi na gongo
ukiona fuso imeandikwa KATUNGA Truck" jua ni mimi huyo usisiye kunisalimiaKweli kabisa kumbe tulikuwa njia moja
napaki mbezi ila huwa nakuja kibaha kufata mchanga,, misugusugu boko kongowe vikuge kote navuruga hukopouwa unapaki wapi kwani