Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,305
- 105,105
MAKUBAZI
Sivyo unavyofikiria ila jamaa mawazo yake yalifika mbali sana ndicho kilichonichekesha maana comment yake niliipita (sikuielewa),baada ya wewe kulalamika ndipo nikarudi nione kilichomaanishwaNaona mnachekelea uwazi wa dada,mama, bibi zenu mpo vizuri