Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,281
- 2,000
Kwa sabab hata hiyo mpya km tusipoiheshimu itakua ni bure tu
Kwa sabab hata hiyo mpya km tusipoiheshimu itakua ni bure tu
Khaa binadamu sio watu wazuriKuna mtu tena humu humu sikumbuki uzi ila alisema kuwa jamaa wamevutia kitu ndani...halafu akafuta ile comment. Mi nikajua tayari mabaharia wameshafanya yao....
Abarikiwe kuongezea uchawi! MweehBarikiwa
Mimi mtu akinitania mara moja fresh ila akinitania mara ya pili na ya tatu kuhusu kitu kilekile panachimbikaKumtania mtu kwa jambo la kweli ni utani au kumwambia ukweli
Kwamba umeongeza mileage tuu
Maisha ni kupanda na kushuka..........lazima uende nayo usikubali kushindwaKitu cha maana kwa wese la kidebe?
Udhalilishaji huo.
Aiseee.....Balaa zitoo View attachment 2223480
Nimeachwa na bwana niliempenda kweliKwamba umeongeza mileage tuu![]()
Inawezekana hukumwambia , ulikuwa unataka uone kama anakupenda kweli nayeye akaona unazingua kumbe kimoyomoyo umezimika......msifanye mambo mengi......ai lavu yuu jibu ailavu Yu tuu.....
Nasemea bwana ambae tulikua kwenye mahusiano tayari alafu nikapigwa chini wakati namuhitaji bado kilio kitahusikaInawezekana hukumwambia , ulikuwa unataka uone kama anakupenda kweli nayeye akaona unazingua kumbe kimoyomoyo umezimika......msifanye mambo mengi......ai lavu yuu jibu ailavu Yu tuu.....
Huo mtihani kama mitihani mingine.........Nasemea bwana ambae tulikua kwenye mahusiano tayari alafu nikapigwa chini wakati namuhitaji bado kilio kitahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli inanikwaza sana.........
Ukute ni wa Waziri wa Maji
Ajali noma sana,unajiuliza ilifikaje hapo
Dah pole sana....ndio umepata funzo upende unapo pendwa
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us