Shimba Ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 152,775
- 2,000
Acheni hizo...hata watu wasitaniane?
BarikiwaUkiongezea na uchawi wa Gasuma nakwambia ni hatari sana.
Piga sala ya ulinzi na omba damu ya Yesu ikae katika lango la nyumba yako na moyo wako. Ziraili atafika hapo na atapaona pa moto atapakimbia Mtumishi![]()
Sasa jinsia na upara wapi na wapi?Acheni hizo...hata watu wasitaniane?
View attachment 2223664
Kumtania mtu kwa jambo la kweli ni utani au kumwambia ukweliAcheni hizo...hata watu wasitaniane?
View attachment 2223664
Kwa sabab hata hiyo mpya km tusipoiheshimu itakua ni bure tu
Khaa binadamu sio watu wazuriKuna mtu tena humu humu sikumbuki uzi ila alisema kuwa jamaa wamevutia kitu ndani...halafu akafuta ile comment. Mi nikajua tayari mabaharia wameshafanya yao....
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us