Vituko Magazetini: Vita vya Kikabila au Vita vya Ng'ombe Tarime? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko Magazetini: Vita vya Kikabila au Vita vya Ng'ombe Tarime?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kuhani, Mar 9, 2009.

 1. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi ukisema "ethnic clash" maana yake nini?

  Kwenye hii taarifa nimetafuta hiyo "ethnic clash" ni baina ya ethnicity gani na gani, naona wanaongelea kuibiana ng'ombe kuwa ndio sababu ya mapigano.

  Pia wameongelea "tribal clashes" lakini naona kuna kabila moja tu humu limeongelewa, Wakurya. Vijiji viwili vya Wakurya vimepigania ng'ombe. Sijui inakuwaje "ethnic clashes" na "tribal clashes."

  Kabla sijatukana waandishi ambao wana "mazingira magumu ya kazi ya uandishi Tanzania" labda kwanza niombe kusaidiwa, ukisema ethnic clash au tribal clash maana yake nini hasa?

   
Loading...