Vituko Igunga.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Leo asubuhi gari la mgombea ubunge kupitia CUF limegongana na pikipiki na gari kuharibika vibaya,cha kushangaza pikipiki haijaharibika hata kidogo na mwendesha pikipiki pia yuko salama.
Napendekeza pikipiki zote zinazoingizwa nchini ziwe za aina hiyo kwakuwa ni imara na wapandaji watasalimika.
 
Teh teh teh eeeehh! kituko kweli kweli, inawezekana ni ishara fulan kwa mgombea!
 
Utakua ni mzimu wa magamba umetumwa kwa cdm bahati mbaya ukaangukia kwa mkewe cuf. Tehe tehe!
 
laiti ungepewa macho ya kuona hiyo pikipiki ni nini...pengine ni fisi...
 
Back
Top Bottom