Vituko Haviishi Tanzania, Mbuzi aangalia Bunge huko Iringa

fortuneless

Member
Jun 8, 2016
95
49
Baada ya Watu kumuona Mwalimu Nyerere huko Tanga Sasa Mbuzi akataaa Kuondoka akiangalia bunge la Jamuhuri ya Muungano Kikao cha 11 mjini Dodoma.
16f1fc1399c965743a76dc202cde5d48.jpg
 
kama bunge lenyewe wambebaki ccm peke yao... unategemea nn!

wabunge wanao tetea maslahi yao na kusahau maslahi ya taifa!

ht wakionyesha 'live' ni mbuz na wengne ndio watakao angalia.
 
kama bunge lenyewe wambebaki ccm peke yao... unategemea nn!

wabunge wanao tetea maslahi yao na kusahau maslahi ya taifa!

ht wakionyesha 'live' ni mbuz na wengne ndio watakao angalia. . .
 
Back
Top Bottom