Vitu vya nyumbani vinauzwa bei poa Mwanza

hamrash

Member
Mar 30, 2015
28
2
Hi wadau,

Naishi Mwanza (Nyamagana) Bugarika. Nimepata uhamisho wa kikazi kwenda mkoa mwingine. Naona kero kusafiri na vitu. Nimeamua kuuza vitu vifuatavyo: 1. Dish la futi 6 (euro star) na receiver (mediacom) pamoja na NLB 3; 2. Subwoofer; 3. Jiko lenye oven la mkaa ; 4. Coach za mninga na mito yake (size 24); 5. Freezer; 6. Tv original aina ya NEC (inchi 14); Deck ya DVD original (JVC); 7. Generator mbili za tiger; 8. coffee table (mninga); 9. Box la spika ya fidek; 10. Masanduku mawili ya kuhifadhia barafu; 11. spika mbili (seiko); 12. Betri la sola (panasonic N-100); 13. Kitanda cha futi 5 na godoro; 14. Matolori 10 ya kubeba mizigo n.k.

Mwenye mahitaji awasiliane nami: 0629 190950 au 0774 205159
 
Nimeshindwa kuweka bei. Bei ni maelewano maana ni bei chee sana. Kama upo serious uje uvione tufanye biashara. Nipo bugarika sokoni
 
Hi wadau,

Naishi Mwanza (Nyamagana) Bugarika. Nimepata uhamisho wa kikazi kwenda mkoa mwingine. Naona kero kusafiri na vitu. Nimeamua kuuza vitu vifuatavyo: 1. Dish la futi 6 (euro star) na receiver (mediacom) pamoja na NLB 3; 2. Subwoofer; 3. Jiko lenye oven la mkaa ; 4. Coach za mninga na mito yake (size 24); 5. Freezer; 6. Tv original aina ya NEC (inchi 14); Deck ya DVD original (JVC); 7. Generator mbili za tiger; 8. coffee table (mninga); 9. Box la spika ya fidek; 10. Masanduku mawili ya kuhifadhia barafu; 11. spika mbili (seiko); 12. Betri la sola (panasonic N-100); 13. Kitanda cha futi 5 na godoro; 14. Matolori 10 ya kubeba mizigo n.k.

Mwenye mahitaji awasiliane nami: 0629 190950 au 0774 205159

Hiyo TV nadhani itamfaa Lubuva.
 
najua umeviiba ndugu yangu maana bugarika ndo wanakaa mjambazi wakuu mwanza nzima na hivi picha hutaki kuweka . ngoja nimwambie msela wangu akushughulikie hapo mwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom