imesha chukuliwa bosi
njoo uchukue friji kwa120000 sofa kwa 150000 au kimoja wapoUngefanya meza 40k, fridge 120k,sofa 80k
uko wapipata meza ya kulia chakula ya kioo kwa sh 90000 pia kuna friji dogo mlango mmoja kwa 180000 pia kuna sofa la ngozi bado lipo kwenye hali nzur kabisa kwa 180000. vitu vinapatikana dar gongo la mboto mawasiliano no 0688501810
View attachment 1705835View attachment 1705836View attachment 1705837View attachment 1705838
nipo dar gongo la mboto mkuu karibu sanauko wapi
imesha uzwa mkuuHebu ifungue friji tuone kapicha kwa ndani!
ndio hiyo mkuuMeza ya chakula haina viti? Au meza gani hiyo
friji imesha uzwa mkuuNna laki 1 ya friji mfuko wa shati mkuu, kama feni ipo pia niuzie.