Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 366
Habari wakuu
Naomba tujuzane katika hili,ni vitu gani navyotakiwa kutazama/kuzingatia kabla sijaamua kupanua biashara yangu,mfano kufungua tawi jingine?
Karibuni.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums