kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Sitaki kukumbuka hii asee.Wangapi mmeliwa Pesa na Nauli nabado dem hajatokea
Sitaki kukumbuka hii asee.Wangapi mmeliwa Pesa na Nauli nabado dem hajatokea
Pouwa baba nmekusomaHii mie nakukatalia. Yupo mwanamke anayehitaji mwanaume anayempenda na sio kisa tu Ana hela. Wapo wapenda status na wasiopenda.
Hivi mfano binti wa Trump atahitaji hela gani kwako yaani kwanza za Nini ivi.
Yaani hela zimejaa mpaka hauoni za kazi gani.
Acha kudanganya.utadhani Kama hatujawahi kuhongwa na sie wanawake wasio na njaa.
Ukiwa na njaa hautokuwa na chaguo la moyo wako Bali njaa ndiyo inayokuchagulia.
Ni Kama unaitiwa kazi na huku una kazi tayari ama una miradi yako
PamojaUmeona ulivyoshabikia ama umekubaliana na hii akili Ina Mana na wewe upo kwenye kundi ili hapa. Na ndo umepinga like wazo la wasio na njaa bana.
Yaani mwanamke mwenye njaa zake no wachache wanaosikiliza mioyo yao wengi wanafuata palipo kula Mana Wana njaa sana.anatumia kitochi Kama mie afu Kuna sehemu anaona atapewa I phone. Penye ukweli ukubali. Hata mie Nina njaa ninakutana na Bibi wa kizungu akitaka kunioa ananioa.pia ukubali kuwa njaa ni mbaya so haitakiwi uwe nayo.
Wahindi hawaolewi na wabantu Ila ukiwa na pesa wanakosa nguvu ya kukata
We're weak before power money material things
Nimekukubali kwa kukubali ukweli. Kikubwa tupambane njaa ni mbaya Kama tunayo tunaowazaa wasiishi maisha yetu Bali yawe Bora zaidi ya kwetu na kuomba the high power above usPouwa baba nmekusoma
Hyo ndo point kubwaNimekukubali kwa kukubali ukweli. Kikubwa tupambane njaa ni mbaya Kama tunayo tunaowazaa wasiishi maisha yetu Bali yawe Bora zaidi ya kwetu na kuomba the high power above us
Barikiwa GwantaHyo ndo point kubwa