Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

Gwanta

Member
Apr 22, 2021
20
45
Hii mie nakukatalia. Yupo mwanamke anayehitaji mwanaume anayempenda na sio kisa tu Ana hela. Wapo wapenda status na wasiopenda.
Hivi mfano binti wa Trump atahitaji hela gani kwako yaani kwanza za Nini ivi.
Yaani hela zimejaa mpaka hauoni za kazi gani.
Acha kudanganya.utadhani Kama hatujawahi kuhongwa na sie wanawake wasio na njaa.
Ukiwa na njaa hautokuwa na chaguo la moyo wako Bali njaa ndiyo inayokuchagulia.
Ni Kama unaitiwa kazi na huku una kazi tayari ama una miradi yako
Pouwa baba nmekusoma
 

Gwanta

Member
Apr 22, 2021
20
45
Umeona ulivyoshabikia ama umekubaliana na hii akili Ina Mana na wewe upo kwenye kundi ili hapa. Na ndo umepinga like wazo la wasio na njaa bana.

Yaani mwanamke mwenye njaa zake no wachache wanaosikiliza mioyo yao wengi wanafuata palipo kula Mana Wana njaa sana.anatumia kitochi Kama mie afu Kuna sehemu anaona atapewa I phone. Penye ukweli ukubali. Hata mie Nina njaa ninakutana na Bibi wa kizungu akitaka kunioa ananioa.pia ukubali kuwa njaa ni mbaya so haitakiwi uwe nayo.

Wahindi hawaolewi na wabantu Ila ukiwa na pesa wanakosa nguvu ya kukata
We're weak before power money material things
Pamoja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom