Vitu viwili muhimu katika mahusiano kwa mwanamke na mwanaume ili yadumu kwa muda mrefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitu viwili muhimu katika mahusiano kwa mwanamke na mwanaume ili yadumu kwa muda mrefu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Alagwa, Jun 6, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Vitu hivi ni muhimu na kama mtu ukivishika utadumu katika mahusiano kwa muda mrefu sana
  1.(KWA WANAUME) mwanamke anahitaji kuoneshwa kuwa anapendwa ukimwonesha hivyo kuwa unapenda basi hanaujanja tena
  2. (KWA WANAWAKE) mwanaume anahitaji kuoneshwa kuwa unamuheshimu kwa kufuata mnavyo panga kwa pamoja ukiweza hana tena ujanja
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ni muhimu ila haviwezi kusimama peke yake
   
 3. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Kweli upendo na heshima ndio msingi wa ndoa yenye mafanikio. Lakini heshima na upendo sio sifa za kugawana kati ya mke na mme. Wote wawili wanapaswa kupendana na kuheshimiana.
   
 4. r

  royna JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ni kweli kabisa,wadada/wamama wakipendwa wanasahau hata umaskini kwenye ndoa
   
 5. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli ,ila haya mambo mm naona balaa. Tu ,tunafanya vyote hivyo kujitolea. Kwa wapenzi wetu,ila tunaambukia to get hurt ,tafran time tu
   
 6. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi kupenda ndio unajali? au unaweza ukampenda lakini usimjali?
   
 7. obi's

  obi's JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nadhani kumjari mpenzi wako ndio kila kitu.
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  mmmmhhhh
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Yah!Lakini u have to do better than that!
   
 10. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hivi Pesa Camp hawajaiona hii kweli??
   
Loading...