chaUkucha
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,382
- 1,212
Shuleni kwa wale waliosoma masomo ya science tulijifunza kwamba "two objects can not occupy the same space"
Ukichukua glass ukaijaza maji alafu ukatia vijiko 2 vya mchanga matokeo ni kwamba maji yatamwagika hapa ni kweli sasa two objects can not occupy the same space.
Ukiweka chai kwenye kikombe alafu uweke vijiko hata 7 vya sukari chai haitomwagika na ile sukari itayeyuka na inaweza kubaki chini ya kikombe ina maana hapa two objects can occupy the space.
Inasemekana binadamu ana miili 9
Mwili wa kwanza ndo huu physical body na wa pili unaitwa astral body kuna uzi wake kule jukwaa la intelligence ina maana hapa pia two or more objects can occupy the same space.
Mifano ipo mingi kwamba two objects can occupy the same space nimalize kwa kusema kwamba shuleni tulidanganywa.