Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Ama kweli JF inatufundisha mengi. Loh mm nilikuwa sijui kama kusema 'Baby nikuulize swali' in kera. Sasa nimjifunza.
 
Kama ningekuwa naye yafuatayo huwa ni kero sana kwangu... 1. Uongo-kusema uongo hii huwa naona ni dharau. 2. Kulalamika lalamika hata vitu visivyo na msingi. 3. Kupenda kupigiwa cm hata kama ni muda wa kazi. 4. Kutaka kulala na nguo.... Mwanamke usafi jamani
 
1.tabia ya kukufanya kama sex machine akimaliza haja zake hata kama wewe bado anajitia kachoka choki anageukia ukutani!
2. tabia ya kutaka umaarufu mbele za wenzake juu ya mafanikio ya mke wake wakati pengine hana alichomgharimia/ kuchangia
3. tabia ya kuleta shazi la wageni home bila taarifa na kuanza kutoa oda ya maakuli hasa ck za mapumziko na sikukuu, unajikuta unahangaika na jiko hadi uck hakuna mapumziko, wkt yeye anaona ufahari tu wamejaa wanakunywa pombe na kucheka kama mahoka wkt wew eunaumia, mwisho wa ck unaishi kusafisha choo kinachonuka konyagi!!!
 
mimi bana nakerwa na
1.umbea-wanawake jamani umbea unakeraaaaaaa,mmesikia?
2.shopping-siendagi na mwanamke dukani mimi wala sokoni.Kitu cha kuchagua dakika tano mkaondoka mwanamke mwaka,kha!
3.maamuzi-be decisive bana,yaani hata vitu vidogo huamui mpaka nikwambie? hicho kichwa cha kazi gani?
4.kunisafisha-nikimaliza kula mzigo kwa nini usilete maji ya vuguvugu na kitambaa ukanisafisha,mpaka niende mwenyewe bafuni? ebo!
hii thread imeniamsha kahasira flan,ntarudi.

bishanga hun hapo pekundi mie na wewe hatuwezi kuwa couple! nikitoka job nami nimeleta vy akuleta home, nimechoka kama mbwa tena nimeshiriki kupika, kama huta appreciate kwa hayo, bac bwana forget about kunawishwa mikono labda kama unaumwa!
 
Back
Top Bottom