Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

mimi bana nakerwa na
1.umbea-wanawake jamani umbea unakeraaaaaaa,mmesikia?
2.shopping-siendagi na mwanamke dukani mimi wala sokoni.Kitu cha kuchagua dakika tano mkaondoka mwanamke mwaka,kha!
3.maamuzi-be decisive bana,yaani hata vitu vidogo huamui mpaka nikwambie? hicho kichwa cha kazi gani?
4.kunisafisha-nikimaliza kula mzigo kwa nini usilete maji ya vuguvugu na kitambaa ukanisafisha,mpaka niende mwenyewe bafuni? ebo!
hii thread imeniamsha kahasira flan,ntarudi.
 
mimi bana nakerwa na 1.umbea-wanawake jamani umbea unakeraaaaaaa,mmesikia? 2.shopping-siendagi na mwanamke dukani mimi wala sokoni.Kitu cha kuchagua dakika tano mkaondoka mwanamke mwaka,kha! 3.maamuzi-be decisive bana,yaani hata vitu vidogo huamui mpaka nikwambie? hicho kichwa cha kazi gani? 4.kunisafisha-nikimaliza kula mzigo kwa nini usilete maji ya vuguvugu na kitambaa ukanisafisha,mpaka niende mwenyewe bafuni? ebo! hii thread imeniamsha kahasira flan,ntarudi.

hiyo namba nne hiyo, Lol.
umenichekesha kweli
kwa hiyo wewe ukimaliza puu!
unataka akusafishe,
Mwambie bwanaaa, asipobadilika piga chini, njoo huku ntakusafisha vizuri, lol
 
mi sipendi ile aliwahi kunihadithia kitu fulani then siku ingine anaanza kuongelea lile lile na anataka uconcentrate kumsikiza! yaani huwa inaniboa lakini basi
 
hiyo namba nne hiyo, Lol.
umenichekesha kweli
kwa hiyo wewe ukimaliza puu!
unataka akusafishe,
Mwambie bwanaaa, asipobadilika piga chini, njoo huku ntakusafisha vizuri, lol
Bombu,Bebii mnafahamiana?
 
kero ni nyingi zingine ni vigumu hata kuelezea...na binadamu huwezi kumkuta yuko perfect kwamba hana kitu kinachokukera
 
Kinachonikera ni kukueleza kitu halafu hutekelezi, nikija kukuuliza unauliza hivi ulisemaje vile au hivi ck ile ulisema unataka nini vile....nianze kueleza upya
 
Tabia ya mwanaume kununa bila sababu inanikera sana anatoka huko kaudhiwa hasira zote zinaishia kwangu nachukia basi tu
 
Kuuliza uliza maswali yenye majibu' sjui hizi sim niweke hapa eee? Ndo tunaenda kuoga wife?. .....na kingine kutoa hadith kwa mafungu' labda tuseme anasema aisee wife leo nimepata bonge la zali? Unauliza kwa shauku ehe lipi ilo? Unaambiwa tulia kwanza afu anaanza kuongea na kid! Baadae anasema ehe nliishia wapi vile? Khaaaaa nachoka kabisa.

Hapo kwenye bluu umenifanya nicheke kwa sauti!
 
Tabia ya mwanaume kununa bila sababu inanikera sana anatoka huko kaudhiwa hasira zote zinaishia kwangu nachukia basi tu

Mwanaume ananuna ili iweje bana.....................argh hiyo nitabia ya kike; ili wabembelezwe; mwanaume likukera unamtolea live mwandani wako bana!
 
Back
Top Bottom