Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Unaweza kufikiria vitu vitatu au vinne ambavyo kwa kweli kwenye mahusiano watu wanakubali kuishi navyo lakini kwa kweli vinakera sana. NI vitu ambavyo unatamani mwenzako angeweza kuvibadilisha lakini baada ya muda umeamua kukubali kuwa huo "ndio" mzigo wako. Umejifunza kuishi navyo lakini kwa kweli ungeweza kuishi bila kuwa navyo. Kwa mfano watu wengine wanakereka na vitu kama kukoroma, kuimba imba, kulala mapema, kuzungumza usiku wa manane na maswali yanayoanza na "nikuulize swali" n.k Hivi siyo vitu vinavyohusiana na watu wengine (siyo mambo ya kucheat n.k) bali vijitabia, mazoea, mambo na hata vijimambo ambavyo ni "kero" kama zile "kero za Muungano".

Hapa tunaweza kufundishana maana wengine kuna vitu ambavyo hawajali kabisa na wala hawafikirii kuwa ni "kero"...
 
kumbe kumwambia mtu nikuulize swali swetie? ni kero eeeh? asante mwanakijiji leo nimejua new theory
 
Kama ntaweza kufikiria nini cha kuvumulia basi pengine ntamvumilia mpenzi wangu kama ni mlevi ila asiyepitiliza kiasi, uvivu wa kutafuta maisha bora na kujiendeleza kwasababu mara nyingine ufahamu wetu na malezi yanatofautiana kuhusu nini tunatakiwa kufanya kuwa na maisha bora, na mwisho kabisa kulalamika kama vile kila kitu ni uonevu kwake.Wengine kulalamika wanaona ndio kupunguza mzigo ndani ya roho zao ingawa ukweli ni kuwa hakuna kitu mtu anayelalamika bila kuchukua action anapata.
 
kumbe kumwambia mtu nikuulize swali swetie? ni kero eeeh? asante mwanakijiji leo nimejua new theory

Umewahi kusikia anavyoguna au kuroll his eyes usiku wa manane ukianza hivyo... angalia next time... wenzenu tumeshajua ni mtego huo...
 
Wasio na Kero yoyote kwenye ndoa... Mara nyingi humaanisha they don't care/have intense feelings kwa spouse wao.... Personally ni the following:

  1. Kwamba as mucha as he loves me - "Sports" yaonekana kama sijui ndo first Love maana hata sielewi yaani... Maana wakigungwa najiandaa nguvu ya ziada maana sio ma mood swings humo ndani.... Hakuna kizuri siku hio ambacho chaweza futa majonzi ya kufungwa siku hio....
  2. Kwamba akiumwa anadeka huyo, hataki uwe mbali, yaani uwe hapo kama kibandiko...lol.... BUT ukiumwa anakuona wewe wadeka zaidi ukifanya the same thing...
  3. If he is into it... he is in to it.... No matter umechoka mpaka uingie line... mwenyewe bila kupenda....lol
 
Dada mkubwa Tena hii ya mpira ndio ugonjwa wa wengi yani hata km kulikuwa na outing ndio imekufa ili mradi timu yake imefungwa unaweza ukapokea hata msg ya leo hatuwezi kuonana!lol.
 
Wasio na Kero yoyote kwenye ndoa... Mara nyingi humaanisha they don't care/have intense feelings kwa spouse wao.... Personally ni the following:
  1. Kwamba as mucha as he loves me - "Sports" yaonekana kama sijui ndo first Love maana hata sielewi yaani... Maana wakigungwa najiandaa nguvu ya ziada maana sio ma mood swings humo ndani.... Hakuna kizuri siku hio ambacho chaweza futa majonzi ya kufungwa siku hio....
  2. Kwamba akiumwa anadeka huyo, hataki uwe mbali, yaani uwe hapo kama kibandiko...lol.... BUT ukiumwa anakuona wewe wadeka zaidi ukifanya the same thing...
  3. If he is into it... he is in to it.... No matter umechoka mpaka uingie line... mwenyewe bila kupenda....lol

Mh! Hapo kwenye kampira ni noma, kwa kweli Man Utd Ikifungwa ni balaa tunaweza tusisemeshane hadi kesho yake. Ila nilishamwambia kabla ya kuwa na mahusiano naye kuwa mimi ulevi wangu ni mpira tu.
 
Tatizo ni kutokujua maana ya kupenda,kupenda ina maana ya kumkubali mtu bila ya masharti yaani kumkubali na tabia yake ila isiwe tabia ya kuumiza kama kucheat n.k,ukishaanza kujiuliza kuhusu hizo "kero" hauna upendo wewe na kama upo ni ule wa masharti,mfano,ili awe na mimi asikorome,awe mweupe,mrefu,tajiri na mambo ya kufanana na hayo,huo ni upendo wa masharti,upendo wa kweli hauna masharti ya aina hiyo!
 
mmmmmmmmh sio masharti ni fleva tu za mapenzi bwana mapoja na mapenzi ndio kuna na sifa za kusindikiza /kupamba hayo mapenzi
 
Back
Top Bottom